4D Naledi

TZS7,500.00
In stock
SKU
SLSP6202
4D Naledi is available to buy in increments of 1

Check Aramex Shipping Rate

Shipment Destination

Result

x
Author: Rebecca Nandwa
  • Nyumbani alikuwa na raha lakini shuleni alikuwa na matatizo.
  • Unene wake wa kupindukia ulimpa Naledi taabu na kiburi chake kikazizidisha.
  • Wanafunzi wenzake wengi walimkwepa na_ wachache waliomkaribia walifanya hivyo kwa nia ya kumchokoza.
  • Mabadiliko ya aina fulani yangefaa.
  • Naledi (Utamu Kolea 4D) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu.
  • Kinaweza kutumiwa sambamba na kitabu chochote cha kozi.
More Information
3rd Party Product Yes
Weight (kg) 0.500000
Ships within Tanzania only No
Write Your Own Review
You're reviewing:4D Naledi
Your Rating

What'sApp Contact

What'sApp
Copyright © 2023- Shop Online Tanzania. All rights reserved.