Dhambi Isiyofutika

TZS7,000.00
In stock
SKU
SLSP6232
Dhambi Isiyofutika is available to buy in increments of 1

Check Aramex Shipping Rate

Shipment Destination

Result

x
  • Author: Mkufya
  • ISBN: 9966363122
  • Katika tamaduni za jamii mbalimbali za Africa kuna vyakula aina aina vinavyoliwa.
  • Baadhi ya jamii hula kumbikumbi, nyingine nzige na nyingine funza.
  • Ginga anapoandaliwa kitoweo cha funza, anaishtaki njaa kwa mmego wa matonge ya sima lakini hajui kwamba kitoweo chake kimetokana na funza mpaka anapochota kichwa chekundu cha funza kutoka bakulini.
  • Kigegezi kinachomkabili kinamkosesha hamu ya kitoweo cha nyama mpaka wazazi wake wanapogundua kusononeka kwa mwanao na kumpa nasaha.
  • Kumbe funza ni akiba wakati wa shida!
More Information
3rd Party Product Yes
Weight (kg) 0.500000
Ships within Tanzania only No
Write Your Own Review
You're reviewing:Dhambi Isiyofutika
Your Rating

What'sApp Contact

What'sApp
Copyright © 2023- Shop Online Tanzania. All rights reserved.