Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 4
TZS12,000.00
In stock
SKU
SLSP6052
Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 4 is available to buy in increments of 1
Check Aramex Shipping Rate
x- ISBN:9789976617252
- Number of pages: 160 pages
- Product Format: Paperback
- Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
- Year published: 2018
- Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la nne.
- Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili.
- Pia, kitabu kimelenga kukuwezesha kutumia msamiati wa lugha ya Kiswahili kwa namna mbalimbali, hivyo, kukujengea uwezo wa kupanga mawazo kwa mpangilio na mtiririko unaotakiwa.
- Kitabu kina hadithi, habari, mashairi, ngonjera, igizo, mdahalo na majigambo.
- Vyote hivyo vitakuwezesha kujifunza kwa ufasaha.
- Kitabu kimesheheni maswali ya kupima ufahamu na mazoezi mbalimbali yanayojenga ujuzi wako katika somo la Kiswahili.
3rd Party Product | Yes |
---|---|
Weight (kg) | 0.500000 |
Ships within Tanzania only | No |
Write Your Own Review
Related Products
Check items to add to the cart or