Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 6

TZS13,000.00
In stock
SKU
SLSP6054
Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 6 is available to buy in increments of 1

Check Aramex Shipping Rate

Shipment Destination

Result

x
  • ISBN:97899870904950
  • Number of pages: 186 pages
  • Product format: Paperback  
  • Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
  • Year published: 2019
  • Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la sita.
  • Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili.
  • Pia, kitabu kimelenga kukuwezesha kutumia msamiati wa lugha ya Kiswahili kwa namna mbalimbali, hivyo, kukujengea uwezo wa kupanga mawazo kwa mpangilio na mtiririko unaotakiwa.
  • Kitabu kina hadithi, habari, mashairi, ngonjera, igizo, mdahalo na majigambo.
  • Vyote hivyo vitakuwezesha kujifunza kwa ufasaha. Kitabu kimesheheni maswali ya kupima ufahamu na mazoezi mbalimbali yanayojenga ujuzi wako katika somo la Kiswahili.
More Information
3rd Party Product Yes
Weight (kg) 0.500000
Ships within Tanzania only No
Write Your Own Review
You're reviewing:Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 6
Your Rating

What'sApp Contact

What'sApp
Copyright © 2023- Shop Online Tanzania. All rights reserved.