Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa La 6
Sku: SLSP6054
Be the first to review this product
In stock
TZS13,000.00
- ISBN:97899870904950
- Number of pages: 186 pages
- Product format: Paperback
- Publisher: Taasisi ya Elimu Tanzania
- Year published: 2019
Description
- Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya mwanafunzi wa Darasa la sita.
- Kitabu kinalenga kukuza uwezo wako wa kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili.
- Pia, kitabu kimelenga kukuwezesha kutumia msamiati wa lugha ya Kiswahili kwa namna mbalimbali, hivyo, kukujengea uwezo wa kupanga mawazo kwa mpangilio na mtiririko unaotakiwa.
- Kitabu kina hadithi, habari, mashairi, ngonjera, igizo, mdahalo na majigambo.
- Vyote hivyo vitakuwezesha kujifunza kwa ufasaha. Kitabu kimesheheni maswali ya kupima ufahamu na mazoezi mbalimbali yanayojenga ujuzi wako katika somo la Kiswahili.