Soma Kwa Fahari Kiswahili Kidato Cha 2
Sku: SLSP6100
Be the first to review this product
In stock
TZS13,500.00
Description
- Soma kwa Fahari (Kidato cha 1-4) ni mfululizo wa vitabu vinne ambavyo kwa pamoja vinakamilisha Muhtasari wa somo la Kiswahili kwa Shule za Sekondari Tanzania.
- Mfululizo huu unazingatia matumizi ya lugha rahisi katika uwasilishaji wa maudhui na dhana;
- Matumizi ya mifano stahiki kutoka katika mazingira ya wanafunzi na mifano ya kutosha ili kumfanya mwanafunzi aelewe maudhui kwa urahisi